Hesabu 11:3 - Swahili Revised Union Version3 Jina la mahali hapo likaitwa Tabera kwa sababu huo moto wa BWANA ukawaka kati yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Kwa hiyo, mahali hapo pakaitwa Tabera, kwa sababu hapo moto wa Mwenyezi-Mungu uliwaka kati ya watu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Kwa hiyo, mahali hapo pakaitwa Tabera, kwa sababu hapo moto wa Mwenyezi-Mungu uliwaka kati ya watu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Kwa hiyo, mahali hapo pakaitwa Tabera, kwa sababu hapo moto wa Mwenyezi-Mungu uliwaka kati ya watu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Hivyo mahali pale pakaitwa Tabera, kwa sababu moto kutoka kwa Mwenyezi Mungu uliwaka miongoni mwao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Hivyo mahali pale pakaitwa Tabera, kwa sababu moto kutoka kwa bwana uliwaka miongoni mwao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Jina la mahali hapo likaitwa Tabera kwa sababu huo moto wa BWANA uliwaka kati yao. Tazama sura |