Hesabu 10:6 - Swahili Revised Union Version6 watapiga sauti ya kugutusha kwa ajili ya safari zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Ishara hiyo ikipigwa mara ya pili, wale wa kambi za upande wa kusini wataanza kuondoka. Ishara hiyo ya tarumbeta itatolewa kila wakati wa kuanza safari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Ishara hiyo ikipigwa mara ya pili, wale wa kambi za upande wa kusini wataanza kuondoka. Ishara hiyo ya tarumbeta itatolewa kila wakati wa kuanza safari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Ishara hiyo ikipigwa mara ya pili, wale wa kambi za upande wa kusini wataanza kuondoka. Ishara hiyo ya tarumbeta itatolewa kila wakati wa kuanza safari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Mlio wa pili ukipigwa, walio kwenye makambi ya kusini wataondoka. Mlio huo wa kujulisha hatari utakuwa ishara ya kuondoka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Ukisikika mlio wa pili wa jinsi hiyo, walioko kwenye makambi ya kusini wataondoka. Mlio huo wa kujulisha hatari utakuwa ishara ya kuondoka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 watapiga sauti ya kugutusha kwa ajili ya safari zao. Tazama sura |