Hesabu 10:7 - Swahili Revised Union Version7 Lakini mkutano utakapokutanishwa pamoja mtapiga, lakini hamtapiga sauti ya kugutusha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Lakini wakati wa kuwaita watu wakusanyike pamoja, tarumbeta zitapigwa kwa njia ya kawaida. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Lakini wakati wa kuwaita watu wakusanyike pamoja, tarumbeta zitapigwa kwa njia ya kawaida. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Lakini wakati wa kuwaita watu wakusanyike pamoja, tarumbeta zitapigwa kwa njia ya kawaida. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Ili kuwakusanya watu, piga tarumbeta zote, lakini siyo kwa mlio wa kujulisha hatari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Ili kukusanya kusanyiko, piga tarumbeta zote, lakini siyo kwa mlio wa kujulisha hatari. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Lakini mkutano utakapokutanishwa pamoja mtapiga, lakini hamtapiga sauti ya kugutusha. Tazama sura |