Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 10:5 - Swahili Revised Union Version

5 Tena hapo mtakapopiga sauti ya kugutusha sana, makambi yaliyoko upande wa mashariki yatasafiri. Tena hapo mtakapopiga sauti ya kugutusha ya pili, makambi yaliyoko upande wa kusini yatasafiri;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Ishara hiyo ikitolewa kwa kupiga tarumbeta, wakazi wa kambi za mashariki wataanza safari.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Ishara hiyo ikitolewa kwa kupiga tarumbeta, wakazi wa kambi za mashariki wataanza safari.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Ishara hiyo ikitolewa kwa kupiga tarumbeta, wakazi wa kambi za mashariki wataanza safari.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Mlio wa kujulisha hatari ukipigwa, makabila yaliyo na makambi upande wa mashariki yataondoka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Wakati mlio wa kujulisha hatari ukipigwa, makabila yaliyo na makambi upande wa mashariki yataondoka.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 Tena hapo mtakapopiga sauti ya kugutusha sana, makambi yaliyoko upande wa mashariki yatasafiri. Tena hapo mtakapopiga sauti ya kugutusha ya pili, makambi yaliyoko upande wa kusini yatasafiri;

Tazama sura Nakili

Hesabu 10:5
5 Marejeleo ya Msalaba  

Piga kelele, usiache, Paza sauti yako kama tarumbeta; Uwahubirie watu wangu kosa lao, Na nyumba ya Yakobo dhambi zao.

Pigeni tarumbeta katika Sayuni, Pigeni na kelele katika mlima wangu mtakatifu; Wenyeji wote wa nchi na watetemeke; Kwa maana siku ya BWANA inakuja. Kwa sababu inakaribia;

Mahali pa mbele ilisafiri beramu ya kambi ya wana wa Yuda, kwa majeshi yao; na Nashoni mwana wa Aminadabu ndiye aliyekuwa juu ya jeshi lake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo