Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 10:18 - Swahili Revised Union Version

18 Kisha beramu ya kambi ya Reubeni ikasafiri kwenda mbele kwa majeshi yao; na juu ya jeshi lake alikuwa Elisuri mwana wa Shedeuri.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Halafu, watu waliokuwa chini ya bendera ya kikosi kilichoongozwa na kabila la Reubeni, walifuata kundi moja baada ya jingine. Kiongozi wao alikuwa Elisuri mwana wa Shedeuri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Halafu, watu waliokuwa chini ya bendera ya kikosi kilichoongozwa na kabila la Reubeni, walifuata kundi moja baada ya jingine. Kiongozi wao alikuwa Elisuri mwana wa Shedeuri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Halafu, watu waliokuwa chini ya bendera ya kikosi kilichoongozwa na kabila la Reubeni, walifuata kundi moja baada ya jingine. Kiongozi wao alikuwa Elisuri mwana wa Shedeuri.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Vikosi vya kambi ya Reubeni vilifuata, chini ya beramu yao. Elisuri mwana wa Shedeuri alikuwa kiongozi wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Vikosi vya kambi ya Reubeni vilifuata, chini ya alama yao. Elisuri mwana wa Shedeuri alikuwa kiongozi wao.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

18 Kisha beramu ya kambi ya Reubeni ikasafiri kwenda mbele kwa majeshi yao; na juu ya jeshi lake alikuwa Elisuri mwana wa Shedeuri.

Tazama sura Nakili

Hesabu 10:18
6 Marejeleo ya Msalaba  

Haya ndiyo majina ya wanaume watakaokusaidia; Wa Reubeni; Elisuri mwana wa Shedeuri.

Tena juu ya jeshi la kabila la wana wa Simeoni ni Shelumieli mwana wa Suri-shadai.

watapiga sauti ya kugutusha kwa ajili ya safari zao.

tena kwa ajili ya dhabihu ya sadaka za amani, ng'ombe dume wawili, na kondoo dume watano, na mbuzi dume watano, na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja; hayo ndiyo matoleo ya Elisuri mwana wa Shedeuri.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo