Hagai 1:8 - Swahili Revised Union Version8 Pandeni milimani, mkalete miti, mkaijenge nyumba; nami nitaifurahia, nami nitatukuzwa, asema BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Sasa, basi, nendeni milimani mkalete miti, mlijenge upya hilo hekalu, nipate kulifurahia na kutukuzwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Sasa, basi, nendeni milimani mkalete miti, mlijenge upya hilo hekalu, nipate kulifurahia na kutukuzwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Sasa, basi, nendeni milimani mkalete miti, mlijenge upya hilo hekalu, nipate kulifurahia na kutukuzwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Pandeni milimani mkalete miti na kujenga nyumba, ili nipate kuifurahia, na nitukuzwe,” asema Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Pandeni milimani mkalete miti na kujenga nyumba, ili nipate kuifurahia, na nitukuzwe,” asema bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Pandeni milimani, mkalete miti, mkaijenge nyumba; nami nitaifurahia, nami nitatukuzwa, asema BWANA. Tazama sura |