Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hagai 1:7 - Swahili Revised Union Version

7 BWANA wa majeshi asema hivi, Zitafakarini njia zenu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi: “Fikirini kama mnafanya sawa!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi: “Fikirini kama mnafanya sawa!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi: “Fikirini kama mnafanya sawa!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni: “Zitafakarini vyema njia zenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Hili ndilo asemalo bwana Mwenye Nguvu Zote: “Zitafakarini vyema njia zenu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

7 BWANA wa majeshi asema hivi, Zitafakarini njia zenu.

Tazama sura Nakili




Hagai 1:7
8 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana ni amri juu ya amri, amri juu ya amri; kanuni juu ya kanuni, kanuni juu ya kanuni; huku kidogo na huku kidogo.


Na tuchunguze njia zetu na kuzijaribu, Na kumrudia BWANA tena.


Basi sasa, BWANA wa majeshi asema hivi, Zitafakarini njia zenu.


Mmepanda mbegu nyingi mkavuna kidogo; mnakula lakini hamshibi; mnakunywa lakini hamtosheki na vinywaji; mnajivika nguo lakini hampati joto; na yeye apataye mshahara apata mshahara ili kuutia katika mfuko uliotobokatoboka.


Pandeni milimani, mkalete miti, mkaijenge nyumba; nami nitaifurahia, nami nitatukuzwa, asema BWANA.


Na sasa nawaomba, tafakarini; tangu siku hii na siku zilizopita; kabla jiwe halijatiwa juu ya jiwe katika nyumba ya BWANA;


Hatimaye, ndugu zangu, furahini katika Bwana. Kuwaandikieni mambo yale yale hakuniudhi mimi, bali kutawafaa ninyi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo