Danieli 8:6 - Swahili Revised Union Version6 Naye akamwendea huyo kondoo dume mwenye pembe mbili, niliyemwona akisimama karibu na mto, akamshambulia kwa ghadhabu za nguvu zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Alimwendea yule kondoo dume mwenye pembe mbili niliyemwona akiwa amesimama kando ya mto, akamshambulia kwa nguvu zake zote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Alimwendea yule kondoo dume mwenye pembe mbili niliyemwona akiwa amesimama kando ya mto, akamshambulia kwa nguvu zake zote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Alimwendea yule kondoo dume mwenye pembe mbili niliyemwona akiwa amesimama kando ya mto, akamshambulia kwa nguvu zake zote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Alikuja akimwelekea yule kondoo dume mwenye pembe mbili niliyemwona akisimama kando ya mto, akamshambulia kwa hasira nyingi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Alikuja akimwelekea yule kondoo dume mwenye pembe mbili niliyemwona akisimama kando ya mto, akamshambulia kwa hasira nyingi. Tazama suraSwahili Roehl Bible 19376 Akamjia yule dume la kondoo, mwenye pembe mbili, niliyemwona, akisimama penye mto, akamkimbilia kwa makali ya nguvu zake. Tazama sura |