Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Danieli 5:27 - Swahili Revised Union Version

27 TEKELI, umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 TEKELI maana yake, wewe umepimwa katika mizani, nawe ukaonekana huna uzito wowote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 TEKELI maana yake, wewe umepimwa katika mizani, nawe ukaonekana huna uzito wowote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 TEKELI maana yake, wewe umepimwa katika mizani, nawe ukaonekana huna uzito wowote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 “Tekeli: Wewe umepimwa katika mizani na kuonekana umepungua.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 “Tekeli: Wewe umepimwa katika mizani na umeonekana umepungua.

Tazama sura Nakili

Swahili Roehl Bible 1937

27 Tekel ni kwamba: Umepimwa kwa mizani, ukaoneka kuwa mwepesi.

Tazama sura Nakili




Danieli 5:27
10 Marejeleo ya Msalaba  

(Na nipimwe katika mizani iliyo sawasawa, Ili Mungu aujue uelekevu wangu);


Hakika binadamu ni ubatili, Na wenye cheo ni uongo, Katika mizani huinuka; Wote pamoja ni hafifu kuliko ubatili.


Njia zote za mtu ni safi machoni pake mwenyewe; Bali BWANA huzipima roho za watu.


Kila njia ya mtu ni sawa machoni pake mwenyewe; Bali BWANA huipima mioyo.


Watu watawaita taka za fedha, kwa sababu BWANA amewakataa.


Nawe, mwanadamu, ujipatie upanga mkali, kama wembe wa kinyozi ujipatie, ukaupitishe juu ya kichwa chako na ndevu zako; kisha ujipatie mizani ya kupimia, ukazigawanye nywele hizo.


Tena BWANA ametoa amri katika habari zako, ya kwamba asiwepo tena mtu awaye yote mwenye jina lako; toka nyumba ya miungu yako nitakatilia mbali sanamu ya kuchora, na sanamu ya kuyeyusha; nitakufanyia kaburi lako; kwa maana u mbovu.


Maana siku ile itaidhihirisha, kwa kuwa yafunuliwa katika moto; na ule moto wenyewe utaijaribu kazi ya kila mtu, ni ya namna gani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo