Danieli 5:26 - Swahili Revised Union Version26 Na tafsiri ya maneno haya ni hii; MENE, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Na hii ndiyo maana yake: MENE maana yake, Mungu amehesabu siku za ufalme wako na kuukomesha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Na hii ndiyo maana yake: MENE maana yake, Mungu amehesabu siku za ufalme wako na kuukomesha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Na hii ndiyo maana yake: MENE maana yake, Mungu amehesabu siku za ufalme wako na kuukomesha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 “Hii ndiyo maana ya maneno haya: “Mene: Mungu amezihesabu siku za utawala wako na kuukomesha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 “Hii ndiyo maana ya maneno haya: “Mene: Mungu amezihesabu siku za utawala wako na kuukomesha. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193726 Maana yao ni hii: Mene ni kwamba: Mungu amezihesabu siku za ufalme wako, akaukomesha Tazama sura |