Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Danieli 2:17 - Swahili Revised Union Version

17 Ndipo Danieli akaenda nyumbani kwake, akawapasha habari kina Hanania, na Mishaeli, na Azaria wenzake;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Kisha, Danieli akarudi nyumbani, akawajulisha wenzake Hanania, Mishaeli na Azaria jambo hilo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Kisha, Danieli akarudi nyumbani, akawajulisha wenzake Hanania, Mishaeli na Azaria jambo hilo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Kisha, Danieli akarudi nyumbani, akawajulisha wenzake Hanania, Mishaeli na Azaria jambo hilo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Ndipo Danieli akarudi nyumbani mwake na kuwaeleza rafiki zake Hanania, Mishaeli na Azaria jambo hilo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Ndipo Danieli akarudi nyumbani kwake na kuwaeleza rafiki zake Hanania, Mishaeli na Azaria jambo hilo.

Tazama sura Nakili

Swahili Roehl Bible 1937

17 Kisha Danieli akaingia nyumbani mwake, akawajulisha wenziwe Hanania na Misaeli na Azaria hilo jambo,

Tazama sura Nakili




Danieli 2:17
5 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo Danieli akamwambia yule msimamizi, ambaye mkuu wa matowashi amemweka juu ya Danieli, na Hanania, na Mishaeli, na Azaria,


Basi Danieli akaingia, akamwomba mfalme ampe muda, kisha yeye atamwonesha mfalme tafsiri ile.


Wako Wayahudi kadha wa kadha uliowaweka juu ya mambo ya wilaya ya Babeli, yaani, Shadraka, na Meshaki, na Abednego; watu hawa, Ee mfalme, hawakukujali wewe; hawaitumikii miungu yako, wala kuiabudu ile sanamu ya dhahabu uliyoisimamisha.


Basi mimi naweka amri ya kuwa kila kabila la watu, na kila taifa, na kila lugha, watakaonena neno lolote lisilopasa juu ya huyo Mungu wa Shadraka, na Meshaki, na Abednego, watakatwa vipande vipande, na nyumba zao zitafanywa jaa; kwa kuwa hakuna Mungu mwingine awezaye kuokoa namna hii.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo