Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Danieli 2:16 - Swahili Revised Union Version

16 Basi Danieli akaingia, akamwomba mfalme ampe muda, kisha yeye atamwonesha mfalme tafsiri ile.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Ndipo Danieli alipomwendea mfalme na kumwomba ampe muda ili aweze kumjulisha mfalme maana ya ndoto yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Ndipo Danieli alipomwendea mfalme na kumwomba ampe muda ili aweze kumjulisha mfalme maana ya ndoto yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Ndipo Danieli alipomwendea mfalme na kumwomba ampe muda ili aweze kumjulisha mfalme maana ya ndoto yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Basi Danieli akawaendea mfalme, akamwomba ampe muda ili aweze kumfasiria ile ndoto.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Aliposikia jambo hili, Danieli akamwendea mfalme, akamwomba ampe muda ili aweze kumfasiria ile ndoto.

Tazama sura Nakili

Swahili Roehl Bible 1937

16 Danieli akaingia kwa mfalme, akamwomba, ampe siku kidogo, apate kumweleza mfalme maana ya ndoto.

Tazama sura Nakili




Danieli 2:16
5 Marejeleo ya Msalaba  

Hasira ya mfalme ni kama wajumbe wa mauti; Lakini mtu mwenye hekima ataituliza.


alijibu, akamwambia Arioko, mkuu wa walinzi wa mfalme, Mbona amri hii ya mfalme ina ukali namna hii? Ndipo Arioko akamwarifu Danieli habari ile.


Ndipo Danieli akaenda nyumbani kwake, akawapasha habari kina Hanania, na Mishaeli, na Azaria wenzake;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo