Danieli 2:12 - Swahili Revised Union Version12 Basi kwa hiyo mfalme akaghadhibika sana, akaona hasira nyingi, akatoa amri kuwaangamiza wenye hekima wote wa Babeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Kusikia hivyo, mfalme Nebukadneza alikasirika na kughadhibika sana, akaamuru wenye hekima wote wa Babuloni waangamizwe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Kusikia hivyo, mfalme Nebukadneza alikasirika na kughadhibika sana, akaamuru wenye hekima wote wa Babuloni waangamizwe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Kusikia hivyo, mfalme Nebukadneza alikasirika na kughadhibika sana, akaamuru wenye hekima wote wa Babuloni waangamizwe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Jambo hili lilimkasirisha na kumghadhibisha mfalme mno, hata kuagiza kuuawa kwa wenye hekima wote wa Babeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Jambo hili lilimkasirisha na kumghadhibisha mfalme mno hata kuagiza kuuawa kwa wenye hekima wote wa Babeli. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193712 Ndipo, mfalme alipopatwa na machafuko makali sana, akaagiza, wajuzi wote wa Babeli wauawe. Tazama sura |