Danieli 11:9 - Swahili Revised Union Version9 Naye huyo ataingia katika ufalme wa mfalme wa kusini, lakini atarudi mpaka nchi yake mwenyewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Lakini baadaye, mfalme huyu wa kaskazini atauvamia ufalme wa kusini, ila atalazimika kurudi katika nchi yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Lakini baadaye, mfalme huyu wa kaskazini atauvamia ufalme wa kusini, ila atalazimika kurudi katika nchi yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Lakini baadaye, mfalme huyu wa kaskazini atauvamia ufalme wa kusini, ila atalazimika kurudi katika nchi yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kisha mfalme wa Kaskazini atashambulia nchi ya mfalme wa Kusini, lakini atarudi hadi kwenye nchi yake mwenyewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kisha mfalme wa Kaskazini atashambulia nchi ya mfalme wa Kusini, lakini atarudi nyuma hadi kwenye nchi yake. Tazama suraSwahili Roehl Bible 19379 Lakini yule atakuja, auingie ufalme wa mfalme wa kusini, kisha atarudi katika nchi yake. Tazama sura |