Danieli 11:10 - Swahili Revised Union Version10 Na wanawe watafanya vita, na kukusanya mkutano wa majeshi makuu; watakaokuja na kufurika na kupita katikati; nao watarudi na kufanya vita mpaka penye ngome yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 “ ‘Wana wa mfalme wa kaskazini watakusanya jeshi kubwa na kujiandaa kwa vita. Jeshi hilo litasonga mbele kama mafuriko litapita na kupigana vita mpaka ngome ya adui. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 “ ‘Wana wa mfalme wa kaskazini watakusanya jeshi kubwa na kujiandaa kwa vita. Jeshi hilo litasonga mbele kama mafuriko litapita na kupigana vita mpaka ngome ya adui. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 “‘Wana wa mfalme wa kaskazini watakusanya jeshi kubwa na kujiandaa kwa vita. Jeshi hilo litasonga mbele kama mafuriko litapita na kupigana vita mpaka ngome ya adui. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Wana wa mfalme wa Kaskazini watajiandaa kwa vita na kukusanya jeshi kubwa, ambalo litafagia nchi kama mafuriko yasiyozuilika, na kuendelea na vita hadi kwenye ngome ya mfalme wa Kusini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Wana wa mfalme wa Kaskazini watajiandaa kwa vita na kukusanya jeshi kubwa, ambalo litafagia nchi kama mafuriko yasiyozuilika na kuendelea na vita hadi kwenye ngome ya mfalme wa Kusini. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193710 Lakini wanawe watatengeneza vita wakikusanya vikosi vingi mno vivumavyo; kisha mmoja atakwenda kuifurikia na kuieneza hiyo nchi, katika safari ya pili atapeleka vita mpaka bomani kwake. Tazama sura |