Danieli 11:8 - Swahili Revised Union Version8 na miungu yao, pamoja na sanamu zao, na vyombo vyao vizuri vya fedha na dhahabu atavichukua mpaka Misri; kisha atajizuia miaka kadhaa asimwendee mfalme wa kaskazini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Atazibeba sanamu za kusubu za miungu yao na vyombo vya thamani vya fedha na dhahabu mpaka nchini Misri. Kwa muda wa miaka kadhaa, mfalme wa kusini hatamshambulia mfalme wa kaskazini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Atazibeba sanamu za kusubu za miungu yao na vyombo vya thamani vya fedha na dhahabu mpaka nchini Misri. Kwa muda wa miaka kadhaa, mfalme wa kusini hatamshambulia mfalme wa kaskazini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Atazibeba sanamu za kusubu za miungu yao na vyombo vya thamani vya fedha na dhahabu mpaka nchini Misri. Kwa muda wa miaka kadhaa, mfalme wa kusini hatamshambulia mfalme wa kaskazini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Tena ataitwaa miungu yao, vinyago vyao vya chuma, na vitu vyao vya thamani vya fedha na dhahabu, na kuvichukua hadi Misri. Kwa miaka kadhaa atamwacha mfalme wa Kaskazini bila kumsumbua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Tena ataitwaa miungu yao, vinyago vyao vya chuma, na vitu vyao vya thamani vya fedha na dhahabu, na kuvichukua hadi Misri. Kwa miaka kadha atamwacha mfalme wa Kaskazini bila kumsumbua. Tazama suraSwahili Roehl Bible 19378 Ndipo, atakapoichukua miungu yao na vinyago vyao na vyombo vyao viwapendezavyo vya fedha na vya dhahabu, ataviteka na kuvipeleka Misri, kisha atakaa miaka na miaka, asimwendee tena mfalme wa kaskazini. Tazama sura |