Danieli 10:5 - Swahili Revised Union Version5 niliinua macho yangu, nikatazama, na kumbe, mtu aliyevikwa nguo za kitani, viuno vyake vimefungwa dhahabu safi kutoka Ufazi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Nikainua macho, nikamwona mtu amevaa mavazi ya kitani na kiunoni amejifunga mkanda wa dhahabu kutoka Ufazi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Nikainua macho, nikamwona mtu amevaa mavazi ya kitani na kiunoni amejifunga mkanda wa dhahabu kutoka Ufazi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Nikainua macho, nikamwona mtu amevaa mavazi ya kitani na kiunoni amejifunga mkanda wa dhahabu kutoka Ufazi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Nikatazama juu, na mbele yangu palikuwa na mtu aliyevaa mavazi ya kitani na mshipi wa dhahabu safi kutoka Ufazi kiunoni mwake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 nikatazama juu, na mbele yangu alikuwepo mtu aliyevaa mavazi ya kitani na mshipi wa dhahabu safi kutoka ufazi kiunoni mwake. Tazama suraSwahili Roehl Bible 19375 Nilipoyainua macho yangu na kutazama, mara nikaona mwanamume mmoja aliyevaa nguo nyeupe ya ukonge, namo viunoni pake alikuwa amefunga mshipi wa dhahabu ya Ufazi. Tazama sura |