Danieli 10:4 - Swahili Revised Union Version4 Na siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza, nilipokuwa kando ya ule mto mkubwa, Hidekeli; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 “Siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza, nilikuwa nimesimama kando ya mto Tigri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 “Siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza, nilikuwa nimesimama kando ya mto Tigri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 “Siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza, nilikuwa nimesimama kando ya mto Tigri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza, nilikuwa nimesimama kwenye ukingo wa mto mkubwa Hidekeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kwenye siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza, nilipokuwa nimesimama kwenye ukingo wa mto mkubwa Hidekeli, Tazama suraSwahili Roehl Bible 19374 Siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza mimi Danieli nilikuwa penye ukingo wa jito kubwa, nalo ndilo Hidekeli. Tazama sura |