Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Danieli 10:10 - Swahili Revised Union Version

10 Na tazama, mkono ukanigusa, ukaniweka juu ya magoti yangu, na viganja vya mikono yangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Hapo, mkono ukanigusa, ukanisimamisha, na kuimarisha miguu na mikono yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Hapo, mkono ukanigusa, ukanisimamisha, na kuimarisha miguu na mikono yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Hapo, mkono ukanigusa, ukanisimamisha, na kuimarisha miguu na mikono yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Mkono ulinigusa, ukaninyanyua na kuniweka magotini, mikono yangu ikishika chini, huku nikiwa bado ninatetemeka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Mkono ulinigusa, ukaninyanyua, na kuniweka nikipiga magoti na mikono yangu ikashika chini, huku nikiwa bado ninatetemeka.

Tazama sura Nakili

Swahili Roehl Bible 1937

10 Mara mkono ukanigusa, ukanisaidia kuinuka, kwa kuwa magoti na viganja vya mikono vilikuwa vikitetemeka.

Tazama sura Nakili




Danieli 10:10
6 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo BWANA akaunyosha mkono wake, akanigusa kinywa changu; BWANA akaniambia, Tazama, nimetia maneno yangu kinywani mwako;


Na kumbe, mmoja mfano wa wanadamu akanigusa midomo yangu; ndipo nikafumbua kinywa changu, nikanena, nikamwambia yeye aliyesimama karibu nami, Ee Bwana wangu, kwa sababu ya maono haya huzuni zangu zimenipata tena; hata sikubakia na nguvu.


Kisha mmoja mfano wa mwanadamu akanigusa tena, akanitia nguvu.


Basi alipokuwa akisema nami, nilishikwa na usingizi mzito na uso wangu uliielekea nchi; lakini alinigusa, akanisimamisha wima.


naam, nilipokuwa nikinena katika kuomba, mtu yule, Gabrieli, niliyemwona katika njozi hapo kwanza, akirushwa upesi, alinigusa panapo wakati wa dhabihu ya jioni.


Nami nilipomwona, nilianguka miguuni pake kama mtu aliyekufa. Akaweka mkono wake wa kulia juu yangu, akisema, Usiogope, Mimi ni wa kwanza na wa mwisho,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo