Danieli 10:9 - Swahili Revised Union Version9 Lakini niliisikia sauti ya maneno yake; nami niliposikia sauti ya maneno yake, ndipo nikashikwa na usingizi mzito, na uso wangu umeielekea nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Nilipoisikia sauti yake, nilianguka chini kifudifudi, nikashikwa na usingizi mzito. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Nilipoisikia sauti yake, nilianguka chini kifudifudi, nikashikwa na usingizi mzito. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Nilipoisikia sauti yake, nilianguka chini kifudifudi, nikashikwa na usingizi mzito. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kisha nikamsikia akisema, nami nilipokuwa nikimsikiliza, nikapatwa na usingizi mzito, nikalala kifudifudi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kisha nikamsikia akisema, nami nilipokuwa nikimsikiliza, nikalala kifudifudi, nikapatwa na usingizi mzito. Tazama suraSwahili Roehl Bible 19379 Nikasika sauti ya maneno yake, tena papo hapo, nilipoisikia sauti ya maneno yake, nikashikwa na usingizi kabisa, nikaanguka kifudifudi, uso wangu ukaelekea chini. Tazama sura |