Amosi 5:17 - Swahili Revised Union Version17 Tena katika mashamba yote ya mizabibu kutakuwako kulia; kwa maana mimi nitapita katikati yako, asema BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Patakuwa na kilio katika mashamba yote ya mizabibu; maana nitapita kati yenu kuwaadhibu. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Patakuwa na kilio katika mashamba yote ya mizabibu; maana nitapita kati yenu kuwaadhibu. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Patakuwa na kilio katika mashamba yote ya mizabibu; maana nitapita kati yenu kuwaadhibu. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Kutakuwa na kuomboleza katika mashamba yote ya mizabibu, kwa kuwa nitapita kati yenu,” asema Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Kutakuwepo kuomboleza katika mashamba yote ya mizabibu, kwa kuwa nitapita katikati yenu,” asema bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Tena katika mashamba yote ya mizabibu kutakuwako kulia; kwa maana mimi nitapita katikati yako, asema BWANA. Tazama sura |