Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Amosi 2:3 - Swahili Revised Union Version

3 nami nitamkatilia mbali mwamuzi atoke kati yake, nami nitawaua wakuu wake pamoja naye, asema BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Isitoshe, nitamuua mtawala wa Moabu, pamoja na viongozi wote wa nchi hiyo. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Isitoshe, nitamuua mtawala wa Moabu, pamoja na viongozi wote wa nchi hiyo. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Isitoshe, nitamuua mtawala wa Moabu, pamoja na viongozi wote wa nchi hiyo. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Nitamwangamiza mtawala wake na kuwaua maafisa wake wote pamoja naye,” asema Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Nitamwangamiza mtawala wake na kuwaua maafisa wake wote pamoja naye,” asema bwana.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 nami nitamkatilia mbali mwamuzi atoke kati yake, nami nitawaua wakuu wake pamoja naye, asema BWANA.

Tazama sura Nakili




Amosi 2:3
10 Marejeleo ya Msalaba  

Humwaga aibu juu ya hao wakuu, Na kulegeza mshipi wa wenye nguvu.


Wakuu wao wakiangushwa kando ya genge, Watayasikia maneno yangu, maana ni matamu.


Na sasa, enyi wafalme, iweni na hekima, Enyi watawala wa dunia, mwaonywa.


ndiye awatanguaye wakuu, na kuwabatilisha waamuzi wa dunia.


Pembe ya Moabu imekatika, na mkono wake umevunjika, asema BWANA. Mlevyeni; kwa maana alijitukuza juu ya BWANA


Maana, kwa kuwa umeyatumainia matendo yako, na hazina zako, wewe nawe utatwaliwa; na Kemoshi atatoka aende katika uhamisho, makuhani wake na wakuu wake pamoja.


Maana mimi najua jinsi maasi yenu yalivyo mengi, na jinsi dhambi zenu zilivyo kubwa; ninyi mnaowaonea wenye haki, mnaopokea rushwa, na kuwageuza wahitaji langoni wasipate haki yao.


Ninyi mnaogeuza hukumu kuwa uchungu, na kuiangusha haki chini,


Je! Farasi watapiga mbio juu ya mwamba? Je! Mtu atalima kwa plau na ng'ombe baharini? Hata mmegeuza hukumu kuwa sumu, na matunda ya haki kuwa uchungu;


Namwona, lakini si sasa; Namtazama, lakini si karibu; Nyota itatokea katika Yakobo Na fimbo ya enzi itainuka katika Israeli; Nayo itazipigapiga pembe za Moabu, Na kuwavunjavunja wana wote wa ghasia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo