Amosi 2:13 - Swahili Revised Union Version13 Tazameni, nitawalemea ninyi, Kama gari lilemeavyo lililojaa miganda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 “Sasa basi, nitawagandamiza mpaka chini, kama gari lililojaa nafaka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 “Sasa basi, nitawagandamiza mpaka chini, kama gari lililojaa nafaka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 “Sasa basi, nitawagandamiza mpaka chini, kama gari lililojaa nafaka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 “Sasa basi, nitawaponda kama gari linavyoponda likiwa limejazwa nafaka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 “Sasa basi, nitawaponda kama gari lipondavyo wakati limejazwa nafaka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Tazameni, nitawalemea ninyi, Kama gari lilemeavyo lililojaa miganda. Tazama sura |
Na hao wa kwenu watakaookoka watanikumbuka kati ya mataifa, watakakochukuliwa mateka, jinsi nilivyoiponda mioyo yao ya kikahaba, iliyoniacha, na macho yao, yaendayo kufanya uasherati na vinyago vyao; nao watajichukia nafsi zao machoni pao wenyewe, kwa sababu ya mabaya yao yote, waliyoyatenda kwa machukizo yao yote.