2 Samueli 9:4 - Swahili Revised Union Version4 Mfalme akamwambia, Yuko wapi? Siba akamwambia mfalme, Tazama, yumo katika nyumba ya Makiri, mwana wa Amieli, katika Lo-debari. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Mfalme akamwuliza, “Yuko wapi?” Siba akamjibu, “Yuko nyumbani kwa Makiri mwana wa Amieli huko Lo-debari.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Mfalme akamwuliza, “Yuko wapi?” Siba akamjibu, “Yuko nyumbani kwa Makiri mwana wa Amieli huko Lo-debari.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Mfalme akamwuliza, “Yuko wapi?” Siba akamjibu, “Yuko nyumbani kwa Makiri mwana wa Amieli huko Lo-debari.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Mfalme akauliza, “Yuko wapi?” Siba akajibu, “Yuko nyumbani mwa Makiri mwana wa Amieli huko Lo-Debari.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Mfalme akauliza, “Yuko wapi?” Siba akajibu, “Yuko nyumbani kwa Makiri mwana wa Amieli huko Lo-Debari.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Mfalme akamwambia, Yuko wapi? Siba akamwambia mfalme, Tazama, yumo katika nyumba ya Makiri, mwana wa Amieli, katika Lo-debari. Tazama sura |