Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

2 Samueli 9:5 - Swahili Revised Union Version

5 Basi mfalme Daudi akatuma watu, na kumwondoa katika nyumba ya Makiri, mwana wa Amieli, katika Lo-debari.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Basi, mfalme Daudi akatuma watu, naye akaletwa kutoka nyumbani kwa Makiri mwana wa Amieli huko Lo-debari.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Basi, mfalme Daudi akatuma watu, naye akaletwa kutoka nyumbani kwa Makiri mwana wa Amieli huko Lo-debari.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Basi, mfalme Daudi akatuma watu, naye akaletwa kutoka nyumbani kwa Makiri mwana wa Amieli huko Lo-debari.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Basi Mfalme Daudi akamtaka aletwe kutoka Lo-Debari, kutoka nyumbani mwa Makiri mwana wa Amieli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Basi Mfalme Daudi akamtaka aletwe kutoka Lo-Debari, kutoka nyumbani kwa Makiri mwana wa Amieli.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 Basi mfalme Daudi akatuma watu, na kumwondoa katika nyumba ya Makiri, mwana wa Amieli, katika Lo-debari.

Tazama sura Nakili

2 Samueli 9:5
3 Marejeleo ya Msalaba  

Yusufu akaona wana wa Efraimu hata kizazi cha tatu; na wana wa Makiri, mwana wa Manase, walizaliwa magotini mwa Yusufu.

Mfalme akamwambia, Yuko wapi? Siba akamwambia mfalme, Tazama, yumo katika nyumba ya Makiri, mwana wa Amieli, katika Lo-debari.

Basi Mefiboshethi, mwana wa Yonathani, mwana wa Sauli akaenda kwa Daudi, akaanguka kifudifudi, akasujudu. Daudi akasema, Mefiboshethi! Naye akaitika, Mimi hapa, mtumishi wako!

Tufuate:

Matangazo

Matangazo