2 Samueli 7:5 - Swahili Revised Union Version5 Nenda, ukamwambie mtumishi wangu, Daudi, BWANA asema hivi, Je! Wewe utanijengea nyumba, nikae ndani yake? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 “Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Mwenyezi-Mungu asema hivi: Je, wewe utanijengea nyumba ya kukaa? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 “Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Mwenyezi-Mungu asema hivi: Je, wewe utanijengea nyumba ya kukaa? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 “Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Mwenyezi-Mungu asema hivi: Je, wewe utanijengea nyumba ya kukaa? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 “Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: Je, ewe ndiwe wa kunijengea mimi nyumba ili nikae ndani yake? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 “Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Hili ndilo asemalo bwana: Je, ewe ndiwe wa kunijengea mimi nyumba ili nikae ndani yake? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Nenda, ukamwambie mtumishi wangu, Daudi, BWANA asema hivi, Je! Wewe utanijengea nyumba, nikae ndani yake? Tazama sura |