Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Samueli 7:4 - Swahili Revised Union Version

4 Ikawa usiku uo huo, neno la BWANA likamfikia Nathani kusema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Lakini usiku uleule neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Nathani,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Lakini usiku uleule neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Nathani,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Lakini usiku uleule neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Nathani,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Usiku ule neno la Mwenyezi Mungu likamjia Nathani, kusema:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Usiku ule neno la bwana likamjia Nathani, kusema:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

4 Ikawa usiku huo huo, neno la BWANA likamfikia Nathani kusema,

Tazama sura Nakili




2 Samueli 7:4
7 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo BWANA akamtuma Nathani aende kwa Daudi. Naye akamwendea, akamwambia, Palikuwa na watu wawili katika mji mmoja; mmoja wao alikuwa tajiri, wa pili maskini.


Nathani akamwambia mfalme, Haya, fanya yote yaliyomo moyoni mwako; maana BWANA yuko pamoja nawe.


Nenda, ukamwambie mtumishi wangu, Daudi, BWANA asema hivi, Je! Wewe utanijengea nyumba, nikae ndani yake?


Tokea siku ile nilipowatoa watu wangu Israeli katika Misri, sikuchagua mji wowote katika kabila zote za Israeli ili kujenga nyumba, jina langu liwe hapo; lakini nilimchagua Daudi awe juu ya watu wangu Israeli.


Ikawa usiku uo huo, neno la Mungu likamjia Nathani, kusema,


Hakika Bwana MUNGU hatafanya neno lolote, bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake.


Kisha akawaambia, Sikilizeni basi maneno yangu; Akiwapo nabii kati yenu, Mimi, BWANA, nitajifunua kwake katika maono, Nitasema naye katika ndoto.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo