2 Samueli 22:34 - Swahili Revised Union Version34 Huifanya miguu yangu kuwa kama ya kulungu; Na kunisimamisha mahali pangu pa juu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Ameiimarisha miguu yangu kama ya paa, na kuniweka salama juu ya vilele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Ameiimarisha miguu yangu kama ya paa, na kuniweka salama juu ya vilele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Ameiimarisha miguu yangu kama ya paa, na kuniweka salama juu ya vilele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Huifanya miguu yangu kama miguu ya kulungu, huniwezesha kusimama mahali palipo juu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Huifanya miguu yangu kama miguu ya kulungu, huniwezesha kusimama mahali palipo juu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 Huifanya miguu yangu kuwa kama ya kulungu; Na kunisimamisha mahali pangu pa juu. Tazama sura |