2 Samueli 22:23 - Swahili Revised Union Version23 Maana hukumu zake zote zilikuwa mbele yangu; Na kuhusu amri zake, sikuziacha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Nimeshika maagizo yake yote, sikuacha kufuata masharti yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Nimeshika maagizo yake yote, sikuacha kufuata masharti yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Nimeshika maagizo yake yote, sikuacha kufuata masharti yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Sheria zake zote zi mbele yangu, wala sijayaacha maagizo yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Sheria zake zote zi mbele yangu, wala sijayaacha maagizo yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Maana hukumu zake zote zilikuwa mbele yangu; Na kuhusu amri zake, sikuziacha. Tazama sura |