Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Samueli 22:21 - Swahili Revised Union Version

21 BWANA alinitendea kulingana na haki yangu; Kulingana na usafi wa mikono yangu akanilipa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 “Mwenyezi-Mungu alinipa tuzo kadiri ya uadilifu wangu; alinituza kwa vile mikono yangu haina hatia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 “Mwenyezi-Mungu alinipa tuzo kadiri ya uadilifu wangu; alinituza kwa vile mikono yangu haina hatia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 “Mwenyezi-Mungu alinipa tuzo kadiri ya uadilifu wangu; alinituza kwa vile mikono yangu haina hatia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 “Mwenyezi Mungu alinitendea sawasawa na uadilifu wangu; sawasawa na usafi wa mikono yangu amenilipa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 “bwana alinitendea sawasawa na uadilifu wangu; sawasawa na usafi wa mikono yangu amenilipa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

21 BWANA alinitendea kulingana na haki yangu; Kulingana na usafi wa mikono yangu akanilipa.

Tazama sura Nakili




2 Samueli 22:21
13 Marejeleo ya Msalaba  

Basi BWANA amenilipa kulingana na haki yangu; Kulingana na usafi wa mikono yangu mbele zake.


Sulemani akasema, Umemfanyia mtumwa wako Daudi baba yangu fadhili kuu, kadiri alivyoenenda mbele zako katika kweli, na katika haki, na katika unyofu wa moyo pamoja nawe; nawe umemwekea na fadhili hii kubwa, maana umempa mwana wa kuketi kitini pake kama ilivyo leo.


basi, usikie huko mbinguni, ukatende, ukawahukumu watumwa wako; ukimpatiliza mtu mbaya, kwa kuleta njia yake juu ya kichwa chake; na kumpa mwenye haki haki yake, ukimjalia kwa kadiri ya haki yake.


Lakini mwenye haki ataishika njia yake, Naye mwenye mikono safi atazidi kupata nguvu.


Tena mtumishi wako huonywa kwazo, Katika kuzishika kuna thawabu kuu.


Mtu aliye na mikono safi na moyo mweupe, Asiyeiweka nafsi yake katika uongo, Wala hakuapa kwa hila.


BWANA atawaamua mataifa, BWANA, unihukumu mimi, Kwa kadiri ya haki yangu, Kulingana na unyofu nilio nao.


Ikiwa, mwenye haki atalipwa duniani; Je, mwovu na mkosaji hawatalipwa mara nyingi zaidi?


Basi, ndugu zangu wapendwa, mwimarike, msitikisike, mkazidi sana kutenda kazi ya Bwana sikuzote, kwa kuwa mnajua ya kwamba taabu yenu siyo bure katika Bwana.


Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu, enyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu, enyi wenye nia mbili.


BWANA humlipa kila mtu kulingana na haki na uaminifu wake; maana BWANA amekutia mikononi mwangu leo, nami nilikataa kuunyosha mkono wangu juu ya masihi wa BWANA.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo