2 Samueli 21:5 - Swahili Revised Union Version5 Wakamwambia mfalme, Yule mtu aliyetupoteza, na kutufanyia shauri la kutuharibu, tusikae katika mipaka yoyote ya Israeli, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Wao wakamwambia mfalme, “Shauli alikusudia kutuua sisi na kutuangamiza, asiache mtu wetu yeyote katika eneo lote la Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Wao wakamwambia mfalme, “Shauli alikusudia kutuua sisi na kutuangamiza, asiache mtu wetu yeyote katika eneo lote la Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Wao wakamwambia mfalme, “Shauli alikusudia kutuua sisi na kutuangamiza, asiache mtu wetu yeyote katika eneo lote la Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Wakamjibu mfalme, “Kwa habari ya mtu aliyetuangamiza na kupanga njama dhidi yetu ili tuangamizwe na tusiwe na yeyote katika Israeli, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Wakamjibu mfalme, “Kwa habari ya mtu aliyetuangamiza na kufanya hila mbaya dhidi yetu ili kwamba tuangamizwe na tusiwe na yeyote katika Israeli, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Wakamwambia mfalme, Yule mtu aliyetupoteza, na kutufanyia shauri la kutuharibu, tusikae katika mipaka yoyote ya Israeli, Tazama sura |