2 Samueli 19:36 - Swahili Revised Union Version36 Mtumishi wako ataka kuvuka Yordani tu pamoja na mfalme; tena mbona mfalme anilipie thawabu ya namna hii? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Mimi mtumishi wako nitakwenda nawe mwendo mfupi ngambo ya Yordani. Kwa nini, mfalme anilipe zawadi kubwa hivyo? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Mimi mtumishi wako nitakwenda nawe mwendo mfupi ngambo ya Yordani. Kwa nini, mfalme anilipe zawadi kubwa hivyo? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Mimi mtumishi wako nitakwenda nawe mwendo mfupi ng'ambo ya Yordani. Kwa nini, mfalme anilipe zawadi kubwa hivyo? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Mtumishi wako atavuka Yordani pamoja na mfalme kwa umbali mfupi tu, lakini kwa nini mfalme anizawadie kwa namna hii? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Mtumishi wako atavuka Yordani pamoja na mfalme kwa umbali mfupi tu, lakini kwa nini mfalme anizawadie kwa namna hii? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI36 Mtumishi wako ataka kuvuka Yordani tu pamoja na mfalme; tena mbona mfalme anilipie thawabu ya namna hii? Tazama sura |