2 Samueli 19:1 - Swahili Revised Union Version1 Kisha Yoabu akaambiwa, Angalia, mfalme anamlilia Absalomu na kumwombolezea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Yoabu aliambiwa kwamba mfalme alikuwa akilia na kuomboleza juu ya kifo cha Absalomu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Yoabu aliambiwa kwamba mfalme alikuwa akilia na kuomboleza juu ya kifo cha Absalomu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Yoabu aliambiwa kwamba mfalme alikuwa akilia na kuomboleza juu ya kifo cha Absalomu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Yoabu akaambiwa, “Mfalme analia na kumwombolezea Absalomu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Yoabu akaambiwa, “Mfalme analia na kumwombolezea Absalomu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Kisha Yoabu akaambiwa, Angalia, mfalme anamlilia Absalomu na kumwombolezea. Tazama sura |
Nami nitawamwagia watu wa nyumba ya Daudi, na wenyeji wa Yerusalemu, roho ya neema na kuomba; nao watamtazama yeye ambaye walimdunga; nao watamwombolezea, kama vile mtu amwombolezeavyo mwanawe wa pekee; nao wataona uchungu kwa ajili yake, kama vile mtu aonavyo uchungu kwa ajili ya mzaliwa wake wa kwanza.