2 Samueli 17:5 - Swahili Revised Union Version5 Ndipo Absalomu akasema, Basi, mwiteni Hushai, Mwarki, naye, tukasikie atakayosema yeye pia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Kisha, Absalomu akasema, “Mwiteni Hushai pia, yule mtu wa Arki, tusikie analotaka kusema.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Kisha, Absalomu akasema, “Mwiteni Hushai pia, yule mtu wa Arki, tusikie analotaka kusema.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Kisha, Absalomu akasema, “Mwiteni Hushai pia, yule mtu wa Arki, tusikie analotaka kusema.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Lakini Absalomu akasema, “Pia mwiteni Hushai, Mwarki, ili tuweze kusikia anachokisema.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Lakini Absalomu akasema, “Pia mwiteni Hushai, Mwariki, ili tuweze kusikia anachokisema.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Ndipo Absalomu akasema, Basi, mwiteni Hushai, Mwarki, naye, tukasikie atakayosema yeye pia. Tazama sura |