1 Wafalme 15:2 - Swahili Revised Union Version2 Miaka mitatu akatawala huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Maaka, binti Absalomu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Alitawala kwa muda wa miaka mitatu akiwa Yerusalemu. Mama yake alikuwa Maaka binti Absalomu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Alitawala kwa muda wa miaka mitatu akiwa Yerusalemu. Mama yake alikuwa Maaka binti Absalomu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Alitawala kwa muda wa miaka mitatu akiwa Yerusalemu. Mama yake alikuwa Maaka binti Absalomu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 naye akatawala huko Yerusalemu miaka mitatu. Mama yake aliitwa Maaka binti Abishalomu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 naye akatawala huko Yerusalemu miaka mitatu. Mama yake aliitwa Maaka binti Abishalomu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Miaka mitatu akatawala huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Maaka, binti Absalomu. Tazama sura |