1 Samueli 8:17 - Swahili Revised Union Version17 Atawatoza fungu la kumi la mifugo wenu; nanyi mtakuwa watumwa wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Atachukua sehemu ya kumi ya kondoo wenu. Na nyinyi wenyewe mtakuwa watumwa wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Atachukua sehemu ya kumi ya kondoo wenu. Na nyinyi wenyewe mtakuwa watumwa wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Atachukua sehemu ya kumi ya kondoo wenu. Na nyinyi wenyewe mtakuwa watumwa wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Atachukua sehemu ya kumi ya makundi yenu ya kondoo na mbuzi, na ninyi wenyewe mtakuwa watumwa wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Atachukua sehemu ya kumi ya makundi yenu ya kondoo na mbuzi, na ninyi wenyewe mtakuwa watumwa wake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Atawatoza fungu la kumi la mifugo wenu; nanyi mtakuwa watumwa wake. Tazama sura |