1 Samueli 8:15 - Swahili Revised Union Version15 Naye atawatoza ushuru wa mbegu zenu na wa mizabibu yenu, awape wakuu wake, na watumishi wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Atachukua sehemu ya kumi ya nafaka zenu na ya zabibu zenu na kuwapa maofisa wake na watumishi wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Atachukua sehemu ya kumi ya nafaka zenu na ya zabibu zenu na kuwapa maofisa wake na watumishi wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Atachukua sehemu ya kumi ya nafaka zenu na ya zabibu zenu na kuwapa maofisa wake na watumishi wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Ataichukua sehemu ya kumi ya nafaka yenu na ya zabibu zenu na kuwapa maafisa wake na watumishi wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Ataichukua sehemu ya kumi ya nafaka yenu na ya zabibu zenu na kuwapa maafisa wake na watumishi wake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Naye atawatoza ushuru wa mbegu zenu na wa mizabibu yenu, awape wakuu wake, na watumishi wake. Tazama sura |