1 Samueli 6:1 - Swahili Revised Union Version1 Basi, hilo sanduku la BWANA lilikuwamo katika nchi ya Wafilisti muda wa miezi saba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Baada ya sanduku la Mwenyezi-Mungu kukaa katika nchi ya Wafilisti kwa muda wa miezi saba, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Baada ya sanduku la Mwenyezi-Mungu kukaa katika nchi ya Wafilisti kwa muda wa miezi saba, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Baada ya sanduku la Mwenyezi-Mungu kukaa katika nchi ya Wafilisti kwa muda wa miezi saba, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Sanduku la Mwenyezi Mungu lilipokuwa limekaa katika nchi ya Wafilisti kwa miezi saba, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Sanduku la bwana lilipokuwa limekaa katika nchi ya Wafilisti kwa miezi saba, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Basi, hilo sanduku la BWANA lilikuwamo katika nchi ya Wafilisti muda wa miezi saba. Tazama sura |