1 Samueli 20:37 - Swahili Revised Union Version37 Na mtoto alipofika penye ule mshale alioupiga Yonathani, Yonathani akampigia mtoto kelele, akasema, Je! Mshale si uko mbele yako? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Yule kijana alipofika mahali ambapo mshale uliangukia, Yonathani akamwita, “Mshale uko mbele yako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Yule kijana alipofika mahali ambapo mshale uliangukia, Yonathani akamwita, “Mshale uko mbele yako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Yule kijana alipofika mahali ambapo mshale uliangukia, Yonathani akamwita, “Mshale uko mbele yako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Yule mvulana alipofika mahali pale mshale wa Yonathani ulikuwa umeanguka, Yonathani akamwita, “Je, mshale hauko mbele yako?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Yule mvulana alipofika mahali pale ambapo mshale wa Yonathani ulipokuwa umeanguka, Yonathani akamwita, “Je, mshale hauko mbele yako?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI37 Na mtoto alipofika penye ule mshale alioupiga Yonathani, Yonathani akampigia mtoto kelele, akasema, Je! Mshale si uko mbele yako? Tazama sura |