1 Samueli 2:11 - Swahili Revised Union Version11 Kisha Elkana akaenda Rama nyumbani kwake. Na yule mtoto akamtumikia BWANA mbele yake Eli, kuhani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Kisha, Elkana akarudi nyumbani Rama. Lakini mtoto Samueli akabaki Shilo kumtumikia Mwenyezi-Mungu chini ya uongozi wa kuhani Eli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Kisha, Elkana akarudi nyumbani Rama. Lakini mtoto Samueli akabaki Shilo kumtumikia Mwenyezi-Mungu chini ya uongozi wa kuhani Eli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Kisha, Elkana akarudi nyumbani Rama. Lakini mtoto Samueli akabaki Shilo kumtumikia Mwenyezi-Mungu chini ya uongozi wa kuhani Eli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Kisha Elkana akaenda nyumbani Rama, lakini mtoto akahudumu mbele za Mwenyezi Mungu chini ya kuhani Eli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Kisha Elikana akaenda nyumbani Rama, lakini mtoto akahudumu mbele za bwana chini ya kuhani Eli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Kisha Elkana akaenda Rama nyumbani kwake. Na yule mtoto akamtumikia BWANA mbele yake Eli, kuhani. Tazama sura |