1 Samueli 15:25 - Swahili Revised Union Version25 Basi sasa, nakuomba, unisamehe dhambi yangu; rudi pamoja nami, nipate kumwabudu BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Lakini sasa nakuomba, unisamehe dhambi yangu. Niruhusu nirudi pamoja nawe ili niweze kumwabudu Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Lakini sasa nakuomba, unisamehe dhambi yangu. Niruhusu nirudi pamoja nawe ili niweze kumwabudu Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Lakini sasa nakuomba, unisamehe dhambi yangu. Niruhusu nirudi pamoja nawe ili niweze kumwabudu Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Sasa ninakusihi usamehe dhambi yangu, nawe urudi pamoja nami, ili nipate kumwabudu Mwenyezi Mungu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Sasa ninakusihi usamehe dhambi yangu, nawe urudi pamoja nami, ili nipate kumwabudu bwana.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Basi sasa, nakuomba, unisamehe dhambi yangu; rudi pamoja nami, nipate kumwabudu BWANA. Tazama sura |