1 Samueli 15:20 - Swahili Revised Union Version20 Sauli akamwambia Samweli, Hakika mimi nimeitii sauti ya BWANA, nami nimemleta Agagi, mfalme wa Waamaleki, tena nimewaangamiza Waamaleki kabisa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Shauli akajibu, “Nimetii sauti ya Mwenyezi-Mungu. Nilikwenda kule alikonituma Mwenyezi-Mungu; nimemleta Agagi mfalme wa Waamaleki, na nimewaangamiza kabisa Waamaleki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Shauli akajibu, “Nimetii sauti ya Mwenyezi-Mungu. Nilikwenda kule alikonituma Mwenyezi-Mungu; nimemleta Agagi mfalme wa Waamaleki, na nimewaangamiza kabisa Waamaleki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Shauli akajibu, “Nimetii sauti ya Mwenyezi-Mungu. Nilikwenda kule alikonituma Mwenyezi-Mungu; nimemleta Agagi mfalme wa Waamaleki, na nimewaangamiza kabisa Waamaleki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Sauli akasema, “Lakini nilimtii Mwenyezi Mungu. Nilikamilisha ile kazi ambayo Mwenyezi Mungu alinituma. Niliwaangamiza Waamaleki kabisa na kumleta Agagi mfalme wao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Sauli akasema, “Lakini nilimtii bwana. Nilikamilisha ile kazi ambayo bwana alinituma. Niliwaangamiza Waamaleki kabisa na kumleta Agagi mfalme wao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Sauli akamwambia Samweli, Hakika mimi nimeitii sauti ya BWANA, nami nimemleta Agagi, mfalme wa Waamaleki, tena nimewaangamiza Waamaleki kabisa. Tazama sura |