1 Samueli 15:19 - Swahili Revised Union Version19 Mbona basi hukuitii sauti ya BWANA, bali ukazirukia nyara ukafanya yaliyo maovu machoni pa BWANA? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Kwa nini basi, hukuitii sauti ya Mwenyezi-Mungu? Kwa nini mkakimbilia nyara na hivyo kutenda jambo ovu mbele ya Mwenyezi-Mungu?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Kwa nini basi, hukuitii sauti ya Mwenyezi-Mungu? Kwa nini mkakimbilia nyara na hivyo kutenda jambo ovu mbele ya Mwenyezi-Mungu?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Kwa nini basi, hukuitii sauti ya Mwenyezi-Mungu? Kwa nini mkakimbilia nyara na hivyo kutenda jambo ovu mbele ya Mwenyezi-Mungu?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Kwa nini hukumtii Mwenyezi Mungu? Kwa nini ulivamia nyara na kufanya uovu machoni pa Mwenyezi Mungu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Kwa nini hukumtii bwana? Kwa nini ulivamia nyara na kufanya uovu machoni pa bwana?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Mbona basi hukuitii sauti ya BWANA, bali ukazirukia nyara ukafanya yaliyo maovu machoni pa BWANA? Tazama sura |