1 Samueli 14:9 - Swahili Revised Union Version9 Nao wakituambia hivi, Ngojeni, hadi sisi tuwafikie; ndipo tusimame pale pale mahali petu, tusiwaendee. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Kama wakituambia tuwangoje, hadi waje hapa tulipo basi, tutasimama papa hapa na wala hatutawaendea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Kama wakituambia tuwangoje, hadi waje hapa tulipo basi, tutasimama papa hapa na wala hatutawaendea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Kama wakituambia tuwangoje, hadi waje hapa tulipo basi, tutasimama papa hapa na wala hatutawaendea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Wakituambia, ‘Subirini hapo hadi tuje kwenu,’ tutakaa pale tulipo na hatutakwea kwao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kama wakituambia, ‘Subirini hapo mpaka tuje kwenu,’ tutakaa pale tulipo na hatutakwea kwao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Nao wakituambia hivi, Ngojeni, hadi sisi tuwafikie; ndipo tusimame pale pale mahali petu, tusiwaendee. Tazama sura |