1 Samueli 14:8 - Swahili Revised Union Version8 Ndipo Yonathani akasema, Tazama, sisi tutavuka kwa watu hawa, na kujidhihirisha kwao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Yonathani akamwambia, “Tutavuka kuwaendea wale watu ili wapate kutuona. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Yonathani akamwambia, “Tutavuka kuwaendea wale watu ili wapate kutuona. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Yonathani akamwambia, “Tutavuka kuwaendea wale watu ili wapate kutuona. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Yonathani akasema, “Basi njoo; tutavuka kuwaelekea hao watu na kuacha watuone. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Yonathani akasema, “Basi njoo; tutavuka kuwaelekea hao watu na kuacha watuone. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Ndipo Yonathani akasema, Tazama, sisi tutavuka kwa watu hawa, na kujidhihirisha kwao. Tazama sura |