Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Samueli 13:1 - Swahili Revised Union Version

1 Sauli alikuwa na umri wa miaka kadha wa kadha hapo alipoanza kutawala; naye akatawala miaka kadha wa kadha juu ya Israeli.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Shauli alikuwa na umri wa miaka kadha wa kadha alipoanza kutawala. Na alitawala Israeli kwa muda wa miaka … miwili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Shauli alikuwa na umri wa miaka kadha wa kadha alipoanza kutawala. Na alitawala Israeli kwa muda wa miaka … miwili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Shauli alikuwa na umri wa miaka kadha wa kadha alipoanza kutawala. Na alitawala Israeli kwa muda wa miaka…miwili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Sauli alikuwa na umri wa miaka thelathini, alipokuwa mfalme, akatawala Israeli miaka arobaini na mbili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Sauli alikuwa na miaka thelathini, alipokuwa mfalme, akatawala Israeli miaka arobaini na miwili.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

1 Sauli alikuwa na umri wa miaka kadha wa kadha hapo alipoanza kutawala; naye akatawala miaka kadha wa kadha juu ya Israeli.

Tazama sura Nakili




1 Samueli 13:1
4 Marejeleo ya Msalaba  

Mwana-kondoo wenu atakuwa hana dosari, wa kiume wa mwaka mmoja; mtamtwaa katika kondoo au katika mbuzi.


Nimwendee BWANA na kitu gani, na kuinama mbele za Mungu aliye juu? Je! Nimwendee na sadaka za kuteketezwa, na ndama wa umri wa mwaka mmoja?


Lakini kama mkiendelea kutenda mabaya, mtaangamia, ninyi na mfalme wenu pia.


Naye Sauli alijichagulia watu elfu tatu wa Israeli; ambao katika hao, elfu mbili walikuwa pamoja na Sauli katika Mikmashi, na katika mlima wa Betheli na elfu moja pamoja na Yonathani katika Gibea ya Benyamini; nao wale watu waliosalia akawaruhusu waende kila mtu hemani kwake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo