1 Samueli 12:25 - Swahili Revised Union Version25 Lakini kama mkiendelea kutenda mabaya, mtaangamia, ninyi na mfalme wenu pia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Lakini kama mkiendelea kutenda maovu, mtaangamia nyinyi wenyewe pamoja na mfalme wenu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Lakini kama mkiendelea kutenda maovu, mtaangamia nyinyi wenyewe pamoja na mfalme wenu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Lakini kama mkiendelea kutenda maovu, mtaangamia nyinyi wenyewe pamoja na mfalme wenu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Hata hivyo mkiendelea kufanya uovu, ninyi na mfalme wenu mtafutiliwa mbali!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Hata hivyo mkiendelea kufanya uovu, ninyi na mfalme wenu mtafutiliwa mbali!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Lakini kama mkiendelea kutenda mabaya, mtaangamia, ninyi na mfalme wenu pia. Tazama sura |