1 Samueli 11:14 - Swahili Revised Union Version14 Kisha Samweli akawaambia watu, Haya! Na twendeni mpaka Gilgali, ili tuuanzishe ufalme upya huko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Samueli akawaambia, “Twendeni wote Gilgali na kwa mara nyingine tutamtangaza Shauli kuwa mfalme.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Samueli akawaambia, “Twendeni wote Gilgali na kwa mara nyingine tutamtangaza Shauli kuwa mfalme.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Samueli akawaambia, “Twendeni wote Gilgali na kwa mara nyingine tutamtangaza Shauli kuwa mfalme.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Ndipo Samweli akawaambia watu, “Njooni, twendeni Gilgali na huko tuthibitishe ufalme.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Ndipo Samweli akawaambia watu, “Njooni, twendeni Gilgali na huko tuthibitishe ufalme.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Kisha Samweli akawaambia watu, Haya! Na twendeni mpaka Gilgali, ili tuuanzishe ufalme upya huko. Tazama sura |