1 Samueli 11:13 - Swahili Revised Union Version13 Lakini Sauli akasema, Hakuna mtu atakayeuawa leo, maana leo BWANA amefanya wokovu katika Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Lakini Shauli akawaambia, “Hakuna mtu yeyote atakayeuawa leo, kwa kuwa katika siku hii, Mwenyezi-Mungu ameikomboa Israeli.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Lakini Shauli akawaambia, “Hakuna mtu yeyote atakayeuawa leo, kwa kuwa katika siku hii, Mwenyezi-Mungu ameikomboa Israeli.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Lakini Shauli akawaambia, “Hakuna mtu yeyote atakayeuawa leo, kwa kuwa katika siku hii, Mwenyezi-Mungu ameikomboa Israeli.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Lakini Sauli akasema, “Hakuna hata mmoja atakayeuawa leo, kwa kuwa siku hii Mwenyezi Mungu ameokoa Israeli.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Lakini Sauli akasema, “Hakuna hata mmoja atakayeuawa leo, kwa kuwa siku hii bwana ameokoa Israeli.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Lakini Sauli akasema, Hakuna mtu atakayeuawa leo, maana leo BWANA amefanya wokovu katika Israeli. Tazama sura |