wala hatukuwasikiliza watumishi wako, manabii, ambao kwa jina lako walisema na wafalme wetu, na wakuu wetu, na baba zetu, na watu wote wa nchi.
Zekaria 7:8 - Swahili Revised Union Version Kisha neno la BWANA likamjia Zekaria, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia mimi Zekaria: Biblia Habari Njema - BHND Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia mimi Zekaria: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia mimi Zekaria: Neno: Bibilia Takatifu Neno la Mwenyezi Mungu likamjia tena Zekaria: Neno: Maandiko Matakatifu Neno la bwana likamjia tena Zekaria: BIBLIA KISWAHILI Kisha neno la BWANA likamjia Zekaria, kusema, |
wala hatukuwasikiliza watumishi wako, manabii, ambao kwa jina lako walisema na wafalme wetu, na wakuu wetu, na baba zetu, na watu wote wa nchi.
Je, Hayo siyo maneno aliyoyasema BWANA kwa vinywa vya manabii wa zamani, wakati Yerusalemu ulipokaliwa na watu na kufanikiwa, na miji yake iliyokuwa ikiuzunguka; na wakati ule ambao nchi ya Negebu na Shefela ilipokuwa ikikaliwa na watu?
BWANA wa majeshi amesema hivi, ya kwamba, Fanyeni hukumu za kweli, kila mtu na amwonee ndugu yake rehema na huruma;